WANANCHI WA MKOA WA KAGERA WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2026

 




Na Mwandishi wetu,Kagera

Picha mbalimbali zikionesha Wananchi wa Mkoa wa Kagera wakisherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2026

Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa furaha na shamrashamra kusherehekea kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, huku nyuso zikiwa na tabasamu, burudani mbalimbali zikitawala na matumaini mapya yakitawala mioyo ya wengi.

Maadhimisho haya yameonesha mshikamano, amani na umoja miongoni mwa wananchi wa mkoa huo.







0/Post a Comment/Comments